Taarifa kutoka kwa watanzania walio enda TB Joshua walifika wakasema mbona ulisema Lowasaa atakuwa rais alafu akakatwa? Tb Joshua akawambia uchaguzi umesha fanyika wakasema apana akawambia nendeni nchini kwenu mkafanye uchaguzi Lowasa ndo raisi, siku wanafika Tanzania wakakuta ndo siku Lowassa anajiunga na CHADEMA ...Yakawafika Hapaaaaaa.........!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comment "utabiri wa tb joshua uko pale pale uchaguzi mkuu tanzania 2015"
Post a Comment