KILICHOJIRI JANGWANI JUMAPILI WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA URAIS ZA CCM


 Viongozi wakimsubiri Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM awasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais
 Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais
  Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais

  Nyomi ikilipuka wakati Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais
  Nyomi ikilipuka wakati Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikweye akiwasili katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es salaam kuzindua rasmi kampeni za Urais

 Wasanii wakitumbuiza
 Sehemu ya nyomi ya CCM Jangwani
 Nape Nnauye akiweka mambo sawa
 Wake wa viongozi
 Nyomi
  Nyomi balaa
 Yamoto Band wakipasha moto
 Meza kuu
 Ni raha sanaaaaaaa....
 wafurukutwa wa CCM
 Dah!
 Raha tupu
 Bushoke na kundi lake
 Kiongozi wa wafanya biashara ndogo ndogo masokoni akinena
 Nyomi ikisikiliza
 Nyomi
 Kiongozi wa waendesha bodaboda akieleza mambo yao
 Hakuna hata pa kutemea mate
 Wanahabari kazini
 Kila hatua ilirekodiwa
 Tooba
 Mwakilishi wa walemavu akisalimia meza kuu
 Nyomi


 Mhe Shyrose Bhanji akirekodi
 Wanahabari

 Nyomi si ya mchezo
 Makongoro Nyerere akisalimia meza kuu
 Makongoro Nyerere akisalimia meza kuu
 Makongoro Nyerere akisalimiana na Mzee Yusuf Makamba
 Meza kuu
 Viongozi wastaafu
 Wafurukutwa
 Jaji Joseph Sinde Warioba akielekea jukwaani kwa vifijo
 Jaji Joseph Sinde Warioba akiinadi ilani ya uchaguzi
 Nyomi na vifaa vya kisasa
 Jaji Warioba akisalimia meza kuu
 Jaji Warioba
 Makamu wa Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein Akielekea jukwaani kusalimia nyomi
  Makamu wa Mwenyekiti wa CCM na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein  akisalimia nyomi



















































0 Comment "KILICHOJIRI JANGWANI JUMAPILI WAKATI WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA URAIS ZA CCM"

Post a Comment

Thank you for your comments