Umati wa wanachama wa CCM wakiwa katika mkutano huo.
Bendera za CCM zikiwa zimezunguka uwanjani hapo.
Wanachama wa CCM wakishangilia mara baada ya kwuasili Jangwani.
Wana CCM wakiingia kwa mbwebwe uwanjani.
Bango kubwa la mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli likiwa pembezoni mwa viwanja vya Jangwani.
Wanachuo mbalimbali wakiingia viwanja vya Jangwani.
Msululu wa wanachama wa CCM wakiingia uwanjani.
0 Comment "ccm wafunika jangwani"
Post a Comment